ili kujua mfumo huu unavyofanya kazi na namna ya kujiunga bonyeza(show contents) kuficha maelezo bonyeza(hide contents)
blog hii ni maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa kujitegemea QT na PC,
ambao asilimia kubwa ni wafanya kazi wanaojiendeleza kielimu wakiwa kazini.
huduma nyingi tunatoa bure na chache zinahitaji malipo. gharama tulizoweka ni ndogo sana dhumuni mwanafunzi amudu gharama hizo.
mara baada ya mwanafunzi kulipia atatumiwa password na username ya kuingia eneo husika ambapo atapata huduma nyingi kulingana na darasa lake, huduma ambazo hataweza kuzipata ikiwa hajajiunga. huduma hizo
ikijumuisha vitabu na past papers toka 1990 hadi 2014 na baadhi ya paper zikiwa na majibu. mwanafunzi anatakiwa kutunza password na username atazopewa kuingia sehemu husika....malipo ya huduma yatafanyika kupitia MPESA au njia aliyochagua mwanafunzi wakati anajaza fomu ya usajiri. hatua ya kwanza kujiunga ni kujaza fomu ya usajiri. hatua ya pili ni kulipia kupitia namba uliyochagua
........education blog ingependa kuwatoa hofu wanafunzi kwa fikra ya kwamba mitihani ya taifa ni migumu na hutungwa kwa lengo la kuwakomoa wanafunzi wa kujitegemea. fikra hizo si sahihi, kwani mitihani ni rahisi mno na mara nyingi maswali hujirudia kila mwaka.
wanafunzi wajenge tabia ya kusoma sana na hakika watafanya vizuri.
wanafunzi wengi pia huwa na tabia za kubagua masomo kama hesabu na mengineyo, blog hii inawashauri kusoma masomo yote ili kutopata tabu wakifika elimu za juu,
kwani hesabu na kingereza yapo katika kila kozi vyuoni.
karibu kujiunga faidika na huduma hii....rudi nyuma kujisajiri na bonyeza "REGISTER"
ili kujua mfumo huu unavyofanya kazi na namna ya kujiunga bonyeza(show contents) kuficha maelezo bonyeza(hide contents)
blog hii ni maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa kujitegemea QT na PC,
ambao asilimia kubwa ni wafanya kazi wanaojiendeleza kielimu wakiwa kazini.
huduma nyingi tunatoa bure na chache zinahitaji malipo. gharama tulizoweka ni ndogo sana dhumuni mwanafunzi amudu gharama hizo.
mara baada ya mwanafunzi kulipia atatumiwa password na username ya kuingia eneo husika ambapo atapata huduma nyingi kulingana na darasa lake, huduma ambazo hataweza kuzipata ikiwa hajajiunga. huduma hizo ikijumuisha vitabu na past papers toka 1990 hadi 2014 na baadhi ya paper zikiwa na majibu. mwanafunzi anatakiwa kutunza password na username atazopewa kuingia sehemu husika....malipo ya huduma yatafanyika kupitia MPESA au njia aliyochagua mwanafunzi wakati anajaza fomu ya usajiri. hatua ya kwanza kujiunga ni kujaza fomu ya usajiri. hatua ya pili ni kulipia kupitia namba uliyochagua

karibu kujua kuhusu mfumo huu
|
SEARCH
LATEST
2015-08-02
2015-08-02
SECCIONS
- AFRICA ORGANIZATION (ALL LEVELS) 7
- AND MESSAGE ) O LEVEL 3
- BIOLOGY O LEVEL 6
- BUSSINESS STUDY 6
- CHARACTERISTICS OF SAMPLE ( PRACTICAL GEOGRAPHY ) 1
- CIVICS 7
- CIVICS ADVANCE LEVEL 15
- COMPUTER APPLICATION 4
- CONDITIONAL SENTENCES 2
- CULTURE DYNAMIC ( ALL LEEVELS ) 4
- DATA COLLECTION ( ADVANCE LEVEL ) 2
- DRUGS ABUSE ( ALL LEVELS) 2
- ECONOMIC DEVELOPMENT (SOCIAL STUDY ) 1
- EFFECTS OF POVERTY ( ALL LEVELS ) 4
- EFFECTS OF SCRAMBLE AND PARTITION 19 CENTURY 4
- ELEMENT OF CULTURE (ALL LEVELS ) 4
- ENGLISH 4
- ESTABLISHMENT OF COLONIALISM IN AFRICA (O LEVEL) 4
- FACTOR INFLUENCING INDUSTRY LOCATION ( O LEVEL ) 3
- FIELD RESEARCH ( ADVANCE LEVEL ) 2
- FORM FOUR NECTA EXAMINATION (MOCK)2013 2
- GEOGRAPHY 4
- GLOBALIZATION IN AFRICA (ALL LEVELS ) 2
- HISTORY 31
- IMPORTANCE OF CULTURE(ALL LEVELS) 4
- INDICATORS OF POVERTY 1
- MAUMAU UPRISING ( HISTORY O LEVEL ) 2
- MFUMO WA MTIHANI QT 2013 1
- NATIONALISM IN EAST AFRICA 1
- PORTUGUESE RULE IN E.AFRICA 2
- PRACTICAL GEOGRAPHY 4
- RESEARCH PROPOSAL ( ALL LEVELS ) 6
- RESEARCH....ADVANCE LEVEL 2
- SAMPLE AND SAMPLING 2
- SETTLEMENT 1
- SIMPLE CHAIN SURVEY 4
- SIMPLE CHAIN SURVEY ( ADVANCE LEVEL ) 5
- SLAVE TRADE IN EAST AFRICA ( O LEVEL ) 3
- SOCIAL STUDY + CIVICS 15
- THE NGONI MIGRATION ( O LEVEL ) 4
- THIS TIME TOMMOROW ( BOOK ANALYSIS) O LEVEL 3
- THIS TIME TOMMOROW ( THEMES 3
- TOPIC 1
- TOURISM ( ALL LEVEL ) 4
- WIND AND WATER ERROSION (ALL LEVELS ) 3
Powered by Blogger.